Hilarious: Wakisii, We Need To Talk Like Now

Date:

Wakisii please kuja mkutano huku:

#Tag your Kisii Friend na utoe battery😂😂😂😂

“Wakisii tafadhali wakati mtu anatravel mpatie instructions bado akiwa nyumbani, hii mambo ya kushout bus ikitaka kutoka..”pilot ngocha kidogo, Nyaboke ukifika Kangemi patia Mereni hiso avocado ziko kwa saga saga(paper bag) ya blue, Maziwa ni ya Onchweri akiwa Nairobi University ameniambia anakungocha hapo transline, kazi ni kungocha maziwa na nyumbani hakuji. Maindi patia Rose mwambie nitakucha kusalimia mtoto. Unga ya wimbi iko kwa saga saga ya black, toa vizuri upatie Onchweri apelekee Moraa, chunga usishikwe, naskia Nairobi watu wanashikwa na saga saga. Namba ya simu nimepatia pilot, ukifika Limuru pigie Anjericah umwambie umefika Limuru atume mtu akuche akusaidie kupepa mizigo, mwambie Kuku aperekee Chareti kwa sababu yeye ndio anatumanga pesa ya mborea. Nimepatia pilot silingi mia mocha ya kununua Maindi mkisimama kukochoa juu ameniambia mtakochoa Naroko/Narok. Aya basi safari nchema. Ukiona Mosoti mwambie ni sawa tu, uchungu wa mzazi ni mtoto wake kukataa kushika simu, simu hapokei, kasi ni ulevi Nairobi, kurewa siku zote harafu bibi akijifungua anaanza kuraramika eti mtoto hamfanani, nisipate mmperekea hata kama ni avocado mocha, wacha ateseke hapo Kawangware. eeeh! pilot ngocha nimesahau kumwambia akichoka anawesa kulala tu.”
#Stolen

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Share post:

Subscribe

spot_img

Popular

More like this
Related

Why the Vatican Uses Black and White Smoke to Announce a New Pope

When the Catholic Church gathers to choose a new...

Uganda Cancels Village Elections After Kenyans Cross Border to Vote Illegally

Uganda's recent local elections have faced problems after officials...

Gun Used in Kasipul MP Ong’ondo Were’s Murder Found

Detectives investigating the murder of Kasipul MP Ong'ondo Were...