• Home
  • News
  • Opinion
  • Politics
  • Lifestyle & entertainment
  • Facing Justice
  • Pictures
  • Global
  • Business
  • Sports
  • Gossip

Kenya Today

Kenya News, analysis & in-depth reports

  • Home
  • News
  • Opinion
  • Politics
  • Lifestyle & entertainment
  • Facing Justice
  • Pictures
  • Global
  • Business
  • Sports
  • Gossip

BREAKING: Senator Muthama to RECORD STATEMENT With NCIC Over Waiguru ‘Sukari + honey’ Uhuru REMARK

September 30, 2015 Leave a Comment

Machakos Senator Johnstone Muthama is expected any time from now at the offices of the National Cohesion and Integration Commission to record a statement following a speech he made last week on Wednesday during the CORD rally at Uhuru Park.

Senator Muthama called on President Uhuru to treat all equally before the law, especially when when suspending government officials. He compared the hurried suspension of former Lands Secretary Charity Ngilu and the pussyfooting which continue to occur in relation to another CS, Ms Anne Waiguru.

CORD co-principal Senator Moses Wetangula, senators James Orengo and Janet Ongera, lawyer John Khaminwa are accompanying the senator.

Below is the abridged speech that is alleged to contain hate comments:

Wewe Rais, mshahara wako hakuna mtu anajua. Allowance zako hakuna mtu anajua. Pesa ambayo ilibebwa na Anne Waiguru kwa mfuko wake ni wewe tu unajua. Mimi nauliza, huyu Waiguru, kwani ni asali na ikaongezewa sukari?
Nitoboe nisitoboe? Nitoboe nisitoboe? [TOBOAAAAAAAA!!]

Sisi hatutakaa kitako kuona Waiguru anabeba Millioni mia tisa na Uhuru anasimana na kusema Waiguru si mwizi.
Alafu anafukuza mama Ngilu kama mbwa sokoni, lakini huyu kipenzi cha moyo anaambiwa beba.
Nitoboe? Nitoboe? Nitoboe?

Uhuru anasema yakwamba, ati walimu wa Rwanda, Burundi and Uganda, wanalipwa zaidi ya walimu wetu. Kama Uhuru umena baada ya kuuza maziwa Uganda, na baada ya kusaidia Nkurunziza kubadilisha katiba kugandamiza waburundi, mimi nakwambia hii ni nchi tofauti kabisa!
Na tutakataa katakata kunyanyaswa na mtu yeyote.

Uhuru umechukua ulipokuwa Rais, ulichukua Shillingi Billioni nane, ukasema ni za kuandikisha wakenya upya. Mshaona kipande mpya?

Ukachukua billioni ishirini na tisa, ukasema ni za laptops.
Wananchi mshaona laptops?

Wewe Rais, ukatoka bila kujali ukitabasamu bila kujali haki ya Wakenya, ukasema Anglo leasing iliiba 1.4 Billion shillings.

Wewe rais, ambaye huna heshima na mtu, ukachukua pesa zetu, Billioni mia mbili, ukaweka bond ya ulaya. Mshaona hizo pesa?

Wananchi sasa Uhuru kwasababu yeye alisema ile elimu alitaka, akapita mlango wa nyuma, akawekewa pesa, anataka nyinyi na watoto wenu wakose masomo ndio waendelee kuwa watumwa wa kulamba wale wengine matako yao. Mtakubali? Mtakubali watoto wenu walambe matako?
Kwahivo kama watoto wa maskini wako nyumbani, Uhuru ujue, you are not the president of the republic of Kenya. And you are not leading Kenyans.

Tunakutaka nyumbani, uende Gatundu, una nyumba ya kutosha, ukae huko na upeleke Anne Waiguru huko.

Nitoboe nisitoboe? Nitoboe nisitoboe? [Audience: TOBOAAAAAAAA]
Tunajua pesa ulizoiba. Tunajua pesa zimeibiwa na wewe na Ruto. Mnatoa wapi kila wiki Millioni kumi ya kutoa katika harambee? na kabla hamjaenda ikulu, tulikuwa tunajua maisha yenu. Wacheni kutudanganya!

Filed Under: Politics Tagged With: Uhuru Kenyatta

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More news

Search news

Categories

  • Accounting (4)
  • Advertorials (12)
  • Alcohol Prediction (2)
  • Bookkeeping (13)
  • Business (276)
  • Devolution (88)
  • Education (9)
  • Facing Justice (1,094)
  • Fiction & Poetry (1)
  • Forex (1)
  • Global (399)
  • Gossip (96)
  • insuarance (10)
  • Lifestyle & entertainment (1,421)
  • Media (75)
  • News (10,186)
    • Jackal news (44)
  • Opinion (5,254)
  • Pictures (449)
  • Politics (4,040)
  • Reports (75)
  • Software Development (4)
  • Sports (211)
  • Technology (19)
  • Travel (9)
  • Форекс обучение (1)
  • Форекс Торговля (5)

Subscribe Newsletter

Subscribe my Newsletter for new blog posts, tips & new photos. Let's stay updated!

Disclaimer

Privacy and cookies

Copyright © 2022 || All Rights Reserved.