Mukurima Muriuki
[wpsocialite]
Here below are excerpts (parts)Â and video of a Tanzania’Member of Parliament representing Iringo constituency, amazing presentation, just click to watch/listen and read the text below>>
Kenya News, analysis & in-depth reports
Mukurima Muriuki
[wpsocialite]
Here below are excerpts (parts)Â and video of a Tanzania’Member of Parliament representing Iringo constituency, amazing presentation, just click to watch/listen and read the text below>>
“Bunge hili naliomba liwe bunge la kimapinduzi. Tu change namna ya kufikiri, tu change namna ya kufanya vitu. Na wengine wanapata taabu hapa kwa sababu tumezoea bunge la chama kimoja. Tuna mfumo na tradition ya chama kimoja cha zamani. Ulimwengu ume change halafu tumesimama mahali pamoja hatuendi mahali ulimwengu unapokwenda. Maendeleo duniani yamekuja kwa kuwa na mawazo tofauti yanayo pingana. Badala ya kutuzoea, mtusikilize, huu ndio wajibu wetu. Mimi kama opposition siwezi kusifia nakukosoa ufanye kazi yako vizuri ndio utimize wajibu wako. Deni kama hili laongezeka kila mwaka, halafu tunakaa chini tunasema ‘serikali ya CCM itaendelea kutawala……so what?…..ili iweje?’ Lengo la serikali kuwepo ni kutatua matatizo…trying to improve maisha ya watu….”