MKONO wa Sheria: Aliyekuwa mbunge wa Shinyalu Justus Kizito alivyokamatwa nje ya mahakama Kakamega na kufungiwa ndani. Alikuwa ameenda kusikiza kesi ambapo amemshtaki mbunge wa sasa Lisamula Anami lakini akanaswa kufuatia agizo lililotolewa na Mahakama ya Leba katika kesi ambapo ameshtakiwa kwa kukosa kulipa wafanyakazi wake 13 miezi 8 na kwa kukosa kufika kortini. Picha/ISAAC WALEÂ (Swahili hub reporting)
